Jumapili, 13 Oktoba 2019

MAPENZI NI HISIA KALI SANA

    Ninajuliza hivu kwanini kupenda kisha kuachana

Napolitasimini neno hili najikuta kupata wakati mugumu kwani nashindwa juwa kipi hufanya mtu akamwambia mwenzake yupo tayari kuishi na kufa naye kisha kurudi na kumsariti je kama kigezo nifedha mbona wenye nazo wanalizwa nakama kamnakama ni umasikini mbona wasio nazo wanapendwa nishetani gani huyu mapenzi au ni malaika gani huyu mapenzi naona wengi wanalia na kuteseka na ndo mana nimeanzisha blog hii kuyajuwa nakuelewa changamoto za mahusiono yaani mapenzii

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni