Jumapili, 13 Oktoba 2019
MAPENZI NI HISIA KALI SANA
Ninajuliza hivu kwanini kupenda kisha kuachana
Napolitasimini neno hili najikuta kupata wakati mugumu kwani nashindwa juwa kipi hufanya mtu akamwambia mwenzake yupo tayari kuishi na kufa naye kisha kurudi na kumsariti je kama kigezo nifedha mbona wenye nazo wanalizwa nakama kamnakama ni umasikini mbona wasio nazo wanapendwa nishetani gani huyu mapenzi au ni malaika gani huyu mapenzi naona wengi wanalia na kuteseka na ndo mana nimeanzisha blog hii kuyajuwa nakuelewa changamoto za mahusiono yaani mapenzii
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)
-
Ninajuliza hivu kwanini kupenda kisha kuachana Napolitasimini neno hili najikuta kupata wakati mugumu kwani nashindwa juwa kipi hufan...